Katika mahusiano hasa kwa wanandoa kuna mlango wa fahamu mmoja ambao ukiutumia vibaya unaweza kuleta matatizo katika ndoa yako.
nao ni jicho
au macho hapa kuna maana kubwa sana kwa wanandoa wengi wanatakiwa kujifunza kitu cha maana sana katika ndoa.
unapokuwa hujaoa unakuwa huru kutazama kila binti anayepita mbele ya macho yako
na kuona anavutia au la ina maana kuwa unakuwa huru kumtazama yoyote bila kuwa na kipingamizi kwani una uhuru wa kuchagua yupi anavutia au lah. ila sasa unapooa kuna hatua za msingi.ukishaoa baso jiatahidi kfunga macho yako usitazame tena mabinti au wanawake walio nje na kuona wazuri kuliko huyo uliyenaye.
kubali kuwa kibofu katika ndoa yako ili uiponye. na pia si mwanaume tu hata mwanamke pia, jitahidi sana kuona mume wako kuwa handsome kuliko wananume wengine , itakusaidia sana .
nikwambie kitu mpenzi msomaji katika app yetu ya upendo wa kweli. iko hivi badala ya kutumia mcho yako katika kumtamani mwanaume au mwanamke mwingine basi tumia macho yako kumwangalia mume wako au mke wako ,
kuangaliana machoni ni dawa nzuri katika ndoa. na kuboresha mvuto wako kwa mwenzi wako.
msiangaliane kana kwamba mko kwa kituo cha polisi.
itakuwa vema sana.
jicho lina nguvu sana katika kuboresha au kuharibu ndoa za wengi. na wengi wameingia katika changamoto za ndoa kwa sababu ya macho yao kutazama mengi ambayo hayafai tena. sasa angalia vema usije haribu.
uliona vema kuwa huyo anakuvutia na ni mzuri sana kuliko wananume wote au wananawake wote. sasa mbona sasa hivi unaangalia nje?
na pia nikushauri wewe mwanamke kuwa basi onekana vema ili ulifanye jicho la mmeo kukuona vema na kuvutiwa nawe kila pale akutazamapo.
na mwanaume pia.
moja ya teknik ambayo wengi huitumia kuwapata wanawake au wanaume ni macho hasa ile firt eye sight inafanya kazi kubwa sana , so kuwa makini na kila unachotazama kama umeingia katika ndoa.
usikose mwendeleze wa masomo yetu ya ndoa kupitia app ya upendo wa kweli iliyopo play store.
pia mjulishe rafiki na jamaa kuhusu app hii ya upendo wa kweli apate kujifunza
Chagua kuwa kipofu katika ndoa kuboresha au kuharibu ndoa(MACHO)
Reviewed by DR.GEE
on
April 10, 2018
Rating:
Reviewed by DR.GEE
on
April 10, 2018
Rating:


No comments: