kazi ya mwanamke katika ndoa

kwa wale mabo wameolewa na wale ambao hawajaolewa mafundisho haya yanwahusu wale ambao wako katika ndoa au waliokaribu kuingia katika ndoa usijaribu kutumia kama hujaingia katika ndoa

leo tuangalie kitu cha msingi sana kwamba hivi mwanamke anaoamua kwenda kuolewa kaenda kwa akili ya nini?
unajua ili ni jambo la muhimu sana katika kujua kipi bora na kipi siyo
mwanamke jua jambo hili kuwa unapoenda kuolewa je umeenda kupika ?
au umeenda kufua?
auumeenda kupiga story?
na je mwanaume kama kupika angeweza kabisa kutafuta mtu akamfulia na kumpikia lakini kwanini atafute mke.
kuna kitu ameona kinapungua katika maisha yake ambacho akikuoa wewe utaleta,
ni ukweli kuwa mwanamke nimsaidi wa mwanaume kwa kila jambo na ni vema sana hapo hakuna kupinga

na tujue kuwa mbali na maswala ya kupika na kumfulia nguo ambayo si wote wanaofanya , na nitaliongea suala hili la kazi za nyumbani kwa mwanamke mfano kupikana kufua na kunyoosha nguo siku nyingine , leo niongelee kipengele muhimu sana
SUALA LA TENDO LA NDOA
unajua kuwa sehemu hii hakuna haja ya kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa bali kuna uhitaji wa kusema ukweli.
unaweza kukubaliana na mini katika maandiko kuwa kama mtu anaweza basi na ake asioe ila kwa jaili ya tamaa na mtu awe na mke wake mywenyewe hivyo mwanamke lazima kujua kuwa tamaa ya mwili ipo kwa mwanaume na unahitaji kuhitibu
najua unaweza kuwa unafikiri sana ila wala usiwe na mawazo sana kivile bali taratibu tu na utajua
leo natoa kionjo na siku nyingine tuaingia ndani zaidi.

mwanamke jua kuwa mwanaume anhitaji tendo la ndoa na si kwa ajili yake tu na kwa ajili yako pia ni si kwamba mwanaume ndo anatakiwa kufurahi tu na kujiridhisha bali na wewe unahitaji kufurahia katika tendo hilo , unajua kuwa wengine wameingia katika ndoa na wanamiaka mingi sana na hawajawahi kufika kileleni na wanatumika katika tu kitandani na hawaoni haja
ila tendo la ndoa ni umhimu na kati ya mambo ambayo unatakiwa kujua na kufanya kwa uzuri ni hayo

mwanamke unapoolewa jua mwanaume atahitaji ngono , na sikumfulia tu kwahiyo mpatie kulinga na inayowezekana, asiwe wa kukubembeleza sana ili umpatie, maana wapo wanawake ambao mpaka waume zao wawabembeleze ndo watoe jamani si hivyo ni furaha ya wote
na kana unaweza kuwa na nyongeza weka kwenye comment
mada hizi tutaendelea kujifunza zaidi na kuingia ndani kwa uzuri zaidi,
mshirikishe rafiki kuweka app hii ya upendo wa kweli katika simu yake apate kujifunza na kama unacomment comment tu hapo chini.


suala la tendo landoa ni muhimu usimnyime mumeo atakapo ila hakikisheni mnauwa na amani katika ndoa yenu ili mfurahie zawwadi hiyo
kazi ya mwanamke katika ndoa kazi ya mwanamke katika ndoa Reviewed by DR.GEE on March 30, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.